Diss Track ya Kendrick Lamar NOT LIKE US imefanikiwa kuchukua tuzo tatu katika usiku wa ugawaji wa GRAMMY’s 2025.
Wimbo huo uliojizolea umaarufu wa aina yake umeshinda;
– Best Rap Performance
– Best Rap Song
Best Music Video
Kendrick anakuwa rapa wa tatu kuwa na jumla ya tuzo 20 za Grammy huku wengine wakiwa ni Jay Z na Kanye West.