Not Like Us ya Kendrick Lamar Yakimbiza Grammy 2025
Not Like Us ya Kendrick Lamar Yakimbiza Grammy 2025
Diss Track ya Kendrick Lamar NOT LIKE US imefanikiwa kuchukua tuzo tatu katika usiku wa ugawaji wa GRAMMY’s 2025.
Wimbo huo uliojizolea umaarufu wa aina yake umeshinda;
– Best Rap Performance
– Best Rap Song
Best Music Video
Kendrick anakuwa rapa wa tatu kuwa na jumla ya tuzo 20 za Grammy huku wengine wakiwa ni Jay Z na Kanye West.