Jarida la People limemtaja Muigizaji wa Filamu , PatrickGalenDempsey kuwa ndio Mwanaume mwenye mvuto zaidi Mwaka 2023.
Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 57 anachukua nafasi ya mshika taji wa mwaka jana, nyota wa Marvel’s Captain America, ChrisEvans.
