PatrickGalenDempsey kuwa ndio Mwanaume mwenye mvuto zaidi Mwaka 2023.


Jarida la People limemtaja Muigizaji wa Filamu , PatrickGalenDempsey kuwa ndio Mwanaume mwenye mvuto zaidi Mwaka 2023.

Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 57 anachukua nafasi ya mshika taji wa mwaka jana, nyota wa Marvel’s Captain America, ChrisEvans. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button