Site icon Bongo Plus

Trump Ameanza Kupakia Watu Kurudi Makwao.

Rais wa Marekani Donald Trump ameanza rasmi utekelezaji wa ahadi yake ya kuwarudisha makwao Wahamiaji haramu wote waliozamia nchini Marekani

Hizi ni kati ya picha zinazowaonesha wahamiaji waliokamatwa wakingizwa kwenye Ndege tayari kurudishwa kwenye nchi zao

Exit mobile version