Mhe. Hamis Mwinjuma amefanya kikao cha mapitio ya taarifa za taasisi za wizara hiyo leo Januari 15, 2025, Mtumba jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amefanya kikao cha mapitio ya taarifa za taasisi za wizara hiyo leo Januari 15, 2025, Mtumba jijini Dodoma.







