Kim Jun Un Ayajaribu Makombora Yake.

Kim Jun Un Ayajaribu Makombora Yake

Kiongozi Mkuu wa Taifa la Korea Kaskazini Kim Jong UN, amesimamia na kushuhudia majaribio ya urushaji makombora ya kimkakati kutokea kwenye meli yake ya kivita majaribio ambayo yamekwenda sambamba na zoezi la ulengaji shabaha.

Chombo cha habari cha Serikali ya Korea Kaskazini kimesema makombora hayo ya kutoka baharini hadi ardhini yamerushwa jana March 04,2026 ikiwa ni sehemu ya kuonesha uwezo wa Nchi hiyo kujilinda kwenye maeneo yake ya Bahari.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button