Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu atika shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu

Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu katika shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Marehemu, Mhe. William Lukuvi (Mb), iliyofanyika katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo Machi 27, 2026

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button