Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. ‎Patrobas Katambi amesema kuwa ndoa ni kiini cha msingi, nguzo imara

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.
‎Patrobas Katambi amesema kuwa ndoa ni kiini cha msingi, nguzo imara na kiunganishi kati ya uwepo wa Serikali na  masuala yote ya amani na usalama wa taifa lololote.

‎Ameyasema hayo leo wakati akizungumza katika hafla ya kufunga ndoa za pamoja kwa wanandoa 130, iliyofanyika katika Ukumbi wa DYCCC Chang’ombe jijini Dar es Salaam.

‎Hafla hiyo, imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, dini, ndugu na jamaa wa wanandoa pamoja na   wananchi waliofika kushuhudia tukio hilo.

 

   

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button