Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa alivyomwakilishia Mhe Raisi Samia Suluhu Hassan
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ,Majaliwa alivyomwakilisha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa nchini Zimbabwe.







