Mashitaka dhidi ya Raisi Joe Biden na Hunter Biden
Hunter biden anashitumiwa kutumia ofisi ya baba yake Joe Biden kwenye biashara mbali mbali ambazo wataalamu na wachunguzi wanasema ameigharimu serikali ma milioni ya pesa kwenye riba vile vile kwenye ukwepaji wakodi , Uchunguzi umeendelea kufanyikana na ndio kitu ambacho kinamchafuwa raisi wa marekani hadi amefunguliwa mashitaka na chama cha upinzani Republican






