Rais wa Liberia, George Weah amekubali kushindwa na amempongeza Rais Mteule ,Joseph Boakai,
Rais wa Liberia, George Weah amekubali kushindwa na amempongeza Rais Mteule, Joseph Boakai, huku akiwahimiza wafuasi wake kukubali matokeo ya uchaguzi. Boakai (78) ametangazwa mshindi baada ya kupata asilimia 50.9 dhidi ya Weah aliyepata asilimia 49.1.







