Raisi Samia kushiriki mkutano wa wakuu wa Nchi za Africa Nchini Kenya

Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe . samia suluhu Hassan akiteta jambo na waziri wa Afya wa kenya Susan Nakhumicha (KULIA)  mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege  wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi  nchini Kenya tarehe 28 April , 2024  kwa ajili ya kushiriki mkutano wa wakuu wa Nchi za Africa wenye lengo la kuanisha vipaumbile vya nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button