Wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) IGP Camillus Wambura alipowasili katika ukumbi wa Julius Nyerere Jijiji Dar es Salaam kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa DCIs kutoka SARPCCO Juni 3, 2025
Picha mbalimbali wakati Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) IGP Camillus Wambura alipowasili katika ukumbi wa Julius Nyerere Jijiji Dar es Salaam kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa DCIs kutoka SARPCCO Juni 3, 2025






