Aliye Ingia na Bendera Kwenye Show Ya Kendrick Akamatwa

Aliye Ingia na Bendera Kwenye Show Ya Kendrick Akamatwa.

Mwanaume mmoja aliekuwa Miongoni mwa Ma-dancer kwenye Show ya Super Bowl HalfTime ambayo Alitumbuiza Rapa KendrickLamer amekamatwa na Polisi kwa kosa la kuingia na bendera yenye maandishi “Sudan na Free Gaza”

Mamlaka zinasema kuwa  ZulQarnain Kwame Nantambu mwenye umri wa miaka 41 alikiuka jukumu alilopewa wakati wa onyesho la Lamar kwa kuingia na kuanza kukimbia na Bendera hiyo ambayo haikuwa kwenye mipango ya onyesho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button