Rapper Nicki Minaj’s tour known as “Pink Friday 2”, has been a huge success – has grossed ($67 Million) equivalent to TSh. 173.8 Billion
Rapper Nicki Minaj’s tour known as “Pink Friday 2”, has been a huge success after making it to the list of the top ten highest grossing Hip Hop concerts of all time and has grossed ($67 Million) equivalent to TSh. 173.8 Billion.
“Pink Friday 2” has been the biggest Tour for female rappers, having performed only 15 concerts and still going, the tour began on March 1, 2023 in Oakland, USA and is expected to finish on July 14, 2024 in Liège, Belgium.
Tour ya rapa Nicki Minaj inayofahamika kwa jina la “Pink Friday 2”, imekuwa na mafanikio sana mara baada ya kuingia kwenye orodha ya matamasha kumi bora ya Hip Hop yaliyoingiza fedha nyingi kwa muda wote na imeingiza ($67 Million) Sawa na TSh. Bilioni 173.8.
“Pink Friday 2” imekuwa Tour kubwa kwa upande wa marapa wa kike, ikiwa imefanya matamasha 15 tu na bado ikiwa inaendelea, tour hiyo ilianza March 1, 2023 mjini Oakland, Marekani na inatarajiwa kumalizika Julai 14, 2024 katika mji wa Liège nchini Ubelgiji.