Wolper Awachana Mastaa Kisa Madawa Yakulevya.

Wolper Awachana Mastaa Kisa Madawa Yakulevya.

Staa wa Filamu nchini Tanzania Jacqueline Wolper amewasihi mastaa wa Tanzania kutodumbukia kwenye Uraibu wa dawa za
kulevya.

Wolper amemtolea mfano mwanamuziki Justine Bieber jinsi ambavyo amepoteza muelekeo kwa sasa kutokana na kile kinachotajwa kuwa madawa ya kulevya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button