#Sudan Jenerali Abdeli Fattah al Burhan amevishutumu vikosi vya dharura vya RFS

Kiongozi wa mamlaka ya kijeshi nchini Sudan Jenerali Abdel Fattah al Burhan amevishutumu vikosi vya dharura vya RSF kwa kufanya uhalifu wa kivita katika taifa hilo linalokabiliwa na vita.

📍Kwenye hotuba yake ya nadra kupitia televisheni, Jenerali Abdel Fattah al Burhan amekishutumu kikosi hicho cha dharura, RSF na kiongozi wake Jenerali Hamdan Dagalo kwa ukiukaji, ikitumia kivuli cha ahadi za uongo za kurejesha demokrasia.SO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button