Black Godfather, Clarence Avant Mweusi wa kwanza kumiliki Stesheni ya Rediao Marekani

Mmarekani mweusi wa kwanza kumiliki stesheni ya Redio USA, Manager aliyekuza Muziki wa wengi mfano Michael Jackson, Whitney Houston, Boys II Men nk, hata wakamuita “Black Godfather”. Mshauri wa Obama na Bill Clinton na wanamichezo wengi, Clarence Avant amefariki akiwa na miaka 92

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button