Raisi Kagame Akutana na Raisi Filipe Nyusi wa Msumbiji
Maraisi hao wawili wamekutana na kufanya mazungumzo mbalimbali yanaoyohusu ushirikiano wa nchi hizo mbili kati ya Rwanda na Mozambique
President Kagame also met with President Filipe Nyusi of Mozambique for discussions on strengthening existing bilateral cooperation between Rwanda and Mozambique






