Aweso Ni miaka Nane kwenye wizara ya maji. Hadi nipo hapa ni mipango ya Mungu lakini pia jitihada kutoka kwa wataalam wetu.

Ni miaka Nane kwenye wizara ya maji. Hadi nipo hapa ni mipango ya Mungu lakini pia jitihada kutoka kwa wataalam wetu.

“Nilivyopata hii dhamana nilihudumu kama Naibu waziri na nilifanya kazi kwa ukaribu mzuri sana na Waziri wangu Mhandisi Isaac Kamwele pia nikafanya kazi na Prof. Makame Mbarawa wote hao wamenipa nafasi ya kufanya, walinituma na kunijenga kwahiyo imenipa nafasi ya kujua changamoto nyingi sana katika sekta yetu ya maji.

“Na imenipa wasaa wa kutembea nchi nzima na hakuna sehemu ambayo sijafika na nimeona hizo changamoto”- Juma Aweso, Waziri wa Maji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button