Kombora Limeanguka Karibu na Uwanja Wa Ndege wa Qamishli, Syria

Kombora Limeanguka Karibu na Uwanja Wa Ndege wa Qamishli Syria

Watu walionekana wakikusanyika kuzunguka kombora lililoanguka karibu na Qamishli International Airport, Syria wakati wa mvutano wa kijeshi unaoendelea kati ya United States, Israel, na Iran.

Hii ni siku ya tano ya vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

Katibu wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema kuwa Marekani inachukua hatua za “kuongeza kasi, si kupunguza” vita vyake dhidi ya Iran huku vifaa vya kijeshi vikipelekwa zaidi katika eneo hilo.

Mgogoro huu umeenea kutoka Turkey hadi Sri Lanka na Israel ikiongeza mashambulizi dhidi ya miji ya Tehran na Lebanon.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button