Majina ya kikosi cha TaifaStars Kilichoenda Tunisia
Kikosi cha Timu ya Taifa @taifastars_ kilichoitwa kwa mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Algeria.
Timu ya Taifa “Taifa Stars” imeondoka leo kuelekea Tunis, Tunisia kwa Kambi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano kufuzu AFCON dhidi ya Algeria utakaochezwa Septemba 7, 2023 Algeria.







