Kundi la Maafisa Wa Jeshi Nchini Gabon Wametangaza Mapinduzi

Kundi la maafisa wa jeshi nchini Gabon lililojiita Kamati ya Mpito na Urejeshaji wa Taasisi, CTRI, limetangaza limetangaza mapinduzi nchini humo.

Raisi amedhuiwa nyumbani kwakwe na mwaname mmoja ametiwa mbaroni kwa  uhaini

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button