Aziz ki kuwawahi Al Merrikh, Mateso yapo pale pale
AL MERRIKH MATESO YAPO PALE PALE, AZIZ KI KUWAWAHI.
#”Baada ya kujua kwamba mchezaji wetu Aziz Ki yupo salama jitihada tunazozifanya kwa sasa kama klabu inayommiliki ni kuzungumza na Shirikisho la soka la Burkina Faso ambalo Aziz yupo chini yake kwa sasa ili kumsafirisha aweze kuwahi maandalizi ya mchezo wetu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AI Merreikh tutakaocheza Rwanda Septemba 16.






