Timu ya Uingereza yashinda 3-1 dhidi ya Scotland
Timu ya Taifa ya Uingereza imeendendeleza ushindi wa Mabao 3 kwa moja dhidi ya wapinzani watani wao timu ya taifa ya Scotland , Mechi hiyo ilikuwa ya kirafiki ila miamba hiyo miwili inapokutana inakuwa mchezo wa kusisimuwa kidogo dhidi ya utani wao
Mabao yamefungwa na Foden dakika 32 , Bellingham 35 na Harry kane dakika ya 81 bao pekee la scotland limefungwa na Maguire dakika 67 ni goli la kujifunga
Kocha mkuu wa timu ya taifa la Uingereza southgate amekasirishwa sana jinsi waandishi wa habari za michezo jinsi amabavyo hawathamini na kumueshimu beki Maguire









