Danelo Calvacante Amekamatwa tena baada ya kutoroka Jela 31/08/23

Danelo Calvalcante  amekamamatwa asubuhi na mapema mida ya saa 8:14am  baada ya kutoroka jela alipokuwa amehukumiwa kifungo cha maisha bila  kuja  kusamehewa  baada ya kumuwaa mpenzi wake kwa kumchoma visu.

Polisi wa Jimbo la Pennsylavania wamesema  mtuhumiwa alikuwa akijifishia nyuma ya jengo la John Deere lilopo  katika jijini la  South Coventry township ambalo lipo 30 Miles kutoka jela ambayo alikuwa amefungwa 

Calvalcante pia anahitajika na serikali ya nchi anayotoka huko Brazil kwa kosa kuuwa pia, ikumbukwe imepita wiki mbili ambayo ni siku 14 sasa, maana alitoroka tarehe 31/08/2023

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button