Julian Nagelsmann ni Kocha Mpya watimu ya Ujerumani
Julian Nagelsmann ni Kocha Mpya watimu ya Ujerumani ambaye ataingoza timu hiyo hadi mwakani 2024 ambapo wajerumani watakuwa wenyeweji wa kombe la Bala la Ulaya
Julian Nagelsmann mwenye umri wa mika 36 ni kijana wa wa pili mdogo kiumri kuifundisha timu hiyo
Ikumbukwe ni mwanzoni mwa mwezi huu ujerumani ilimfukuza kocha wake baada ya kufungwa na wajapan mabao 4-1, kwa siku hizi za karibu wamekuwa wakifanya vibaya sana katika mechi na mashindano mbalimbali
Flick alikuwa msaadizi waa kocha mkuu Joachime Leow aliyewapa ubingwa 2014, Tangia Flick alipoichukuwa timu 2021 hiyo wameweza kushinda michezo 17 ya kirafiki, na mwaka jana waliondolowa kwenye makundi katika mashindano ya kombe la Dunia







