Video ya Cristiano Ronaldo na wachezaji wenzake wa Al-Nassr
Cristiano Ronaldo na wachezaji wenzake wa Al-Nassr akiwemo Sadio Mane wameonekana kwenye video mpya wakiwa wamevalia mavazi ya kitamaduni ya Saudia na wakiwa na panga.
Ronaldo, 38, alihamia Ligi ya Saudi Arabia mwezi Disemba mwaka jana lakini tayari ameshaanza kuyazoea maisha ya Mashariki ya Kati.
Ndani ya mechi tano tayari ana magoli saba (7) katika mwanzo huu wa msimu wa Saudi Pro League na kushinda Kiatu cha Dhahabu kwenye Michuano ya Arab Club Champions Cup.
Nafikili video hii ni kwajili ya matangazo , Ronaldo ameshiriki matangazo mbali mbali na amekuwa kivutio kikubwa sana
Ikumbukwe mwanzoni mwa wiki hii timu ya Al-Nassr walenda kufanya mazoezi nchi Iran ila haikuwezakana kutoka na wingi wamashabiki walio kuja kumtazama Ronaldo








