Raisi Felix Tshisekedi Awafukuza UN Congo

Raisi wa Jamuhuri ya watu wa Congo Felix Tshisekedi ameliomba Jeshi la watunza amani wa UN kuondoka hapo nchi baada ya kuwepo Congo zaidi ya Miaka 20 bila mafanikio yoyote

Vikundi mbali mbali vya waasi  vimekuwa vikitawala sehemu mbali mbali za nchi hiyo ya Congo huku wakati mwingine wakiswashambulia  na ku wauwa maelfu ya Raia  kwa nia kuendeleza kumiliki sehemu zenye utajiri wa madini 

Raia wengi wa Congo hawataki kuwaona  watunza amani hao wa UN , wakati mwingine wa mandamano dhidi watunza amani haoo raia wengi hupoteza maisha 

Raisi Tshisekedi amelihutubia mkutano wa UN Genaral Assembely 21/9/23 kwamba kuondoka kwa watunza amani hao katika  mpango wa MONUSCO’s  umeondowa mapighano kati ya wananchi na jeshi la kulinda amani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button