Tulia.ackson akihutubia muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

Spika wa Bunge Mhe Dkt. tulia.ackson akihutubia muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) . katika kura zilizopigwa ambapo Mhe Tulia amepata kura 172 kati ya kura 303 zilizopigwa kwenye uchaguzi huo nchini Angola

Dr Tulia anakuwa Rais wa 31 Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

Waziri wa mfawatanzania Mhe. jmakamba na ujumbe wake wakiwa na Naibu Spika wa Bunge la Ukraine, Mhe. Oleksandr Korniyenko na ujumbe wake ikiwa ni moja ya vikao nchini Angola katika kampeni ya Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambapo Spika wa bunge.tanzania tulia.ackson ni mgombea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button