Mhe. Mohamed mchengerwa akiwasili kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa MIkitano wa Mwalimu Julius Nyerere
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. mohamed_mchengerwa akizungumza na Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Bw. Adolf Ndunguru pamoja na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya OR-TAMISEMI Dkt. Wilson Charles Mahera katika Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa unatofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es salaam.

Waziri wa Nchi ortamisemi Mhe. mohamed_mchengerwa akiwasili kwenye viwanja vya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikitano wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kushiriki kwenye Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na vifaa tiba.
Ripoti hiyo itazinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nuda mfupi ujao.






