Sven Vanderbrock anataka mshahara wa shiling million 40 kwa mwezi lakini
Sven Vanderbrock anataka mshahara wa shiling million 40 kwa mwezi lakini Simba hawapo tayari kutoa kiasi hicho cha fedha Kwa Mujibu wa taarifa ambazo nimezipata ni kwamba Simba wapo tayari kumpa mshahara wa shilingi Million 35 kwa mwezi






