Rapa Kanye West Awa Gumzo Mtandaoni Baada Ya Kuonekana Na Meno “Grills” Za Titani Mdomoni Kwake Zinazokadiriwa Kuwa Na Thamani Ya $850K (Tsh Bilioni 2.1/=)

Kanye 🇺🇸 gave fans a look at his new smile on IG, and included a photo of his apparent inspiration, the #JamesBond villain #Jaws, from movies ‘The Spy Who Loved Me’ and ‘Moonraker.’ According to reports, the titanium prosthesis is rumored to cost around $850,000. Swipe
___________________________

Rapa Kanye West Awa Gumzo Mtandaoni Baada Ya Kuonekana Na Meno “Grills” Za Titani Mdomoni Kwake Zinazokadiriwa Kuwa Na Thamani Ya $850K (Tsh Bilioni 2.1/=)

Kanye Ame-Share Picha Ikimuonesha Akiwa Na Meno Hayo (Grills) Katika IG Story Yake Na Kisha Kuweka Picha Zilizoonesha Baadhi Ya Filamu Za James Bond Zilizomshawishi Kufanya Hivyo Kama “The Spy Who Loved Me (1997) Pamoja Na “Moon Raker” (1979).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button