Abdulrahman Kinana amefika nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Ngarash wilayani Monduli
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amefika nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Ngarash wilayani Monduli kutoa pole kwa familia, ndugu jamaa na wananchi.










