Makatibu Wakuu na Viongozi waandamizi wa Wizara ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuboresha miundombinu ya barabara
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. mwigulunchemba (Mb) akiongoza kikao kilichowashirikisha Waziri wa Ujenzi Mhe. innocentbash na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. dndejembi , pamoja na Makatibu Wakuu na Viongozi waandamizi wa Wizara hizo tatu; tanroadshq na tarura_tanzania , ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuboresha miundombinu ya barabara, Ofisini kwake (Treasury Square), Jijini Dodoma.







