Baloz Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Majonzi Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Komredi Edward Ngoyai Lowasa Kijiji cha Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha. #







