Dkt. Emmanuel John Nchimbi akibadilishana mawazo na kusalimiana na viongozi mbalimbali

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akibadilishana mawazo na kusalimiana na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali katika shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Komredi Edward Ngoyai Lowasa Kijiji cha Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button