Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 202

Majaji wa Mahakama ya Rufani wakila Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.

Viongozi mbalimbali wakila Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button