Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro damasndumbaro_official ameshiriki sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizoongozwa na Waziri Mkuu

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro @damasndumbaro_official ameshiriki sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizoongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Aprili 02, 2024 Mkoani Kilimanjaro

Mwenge Uhuru utakimbizwa kwa siku 195 katika mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar ambapo utazindua na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.@owm_tz 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button