Biteko – Naibu Waziri Mkuu Bungeni Dodoma
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akifuatilia masuala mbalimbali yanayoendelea katika Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Tano wa Bunge, Jijini Dodoma tarehe 2 Aprili, 2024.