Vijana wa ccm wametembelea mkoani Rufiji na kutoa misaada mbalimbali baada ya Mafuriko
Poleni sana wana Rufiji.
Leo tukiongozwa na Mwenyekiti wetu @comrade_kawaida na makamu @rehema_sombi @uvccm_tz Tumekwenda kuwapa faraja na mkono wa eid ndugu zetu wa Rufiji.









