Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya kuwasili mkoani Arusha kwaajili ya kushiriki ibada maalum Moringe sokoine

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya kuwasili mkoani Arusha kwaajili ya kushiriki ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine itakayofanyika kesho tarehe 12 Aprili 2024, Monduli.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button