Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwapokea Vijana 10 walioendesha Baiskeli kutoka Moshi, Kilimanjaro hadi Dodoma ikiwa ni moja ya njia za kukitangaza Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwapokea Vijana 10 walioendesha Baiskeli kutoka Moshi, Kilimanjaro hadi Dodoma ikiwa ni moja ya njia za kukitangaza Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania. Mapokezi hayo yamefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC), Tarehe 11 Aprili, 2024.(Picha na Ofisi ya NWM)






