D Mbili ni kiwango cha chini kabisa cha kufaulu, ukiangalia yule Mwanafunzi katika masomo Saba akipata A
D Mbili ni kiwango cha chini kabisa cha kufaulu, ukiangalia yule Mwanafunzi katika masomo Saba akipata A zote maana yake atakuwa amepata One- 7, kuna B, C, D. Ule ufaulu wa ujumla unahusisha daraja la kwanza hadi daraja la Nne (Division 4). Katika daraja la Nne kiwango cha chini kabisa cha Division 4 ni yule mtu angalau amepata D Mbili”
Dr Said Mohammed, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Necta.






