Alassane Kante Ndio Mchezaji Muhimu Zaidi Simba

Alassane Kante Ndio Mchezaji Muhimu Zaidi Simba

Kocha wa Simba Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezaji wake Alassane Kante ndio anaenda kuwa mchezaji muhimu zaidi Simba injini ya timu katikati ya Uwanja.

Aidha amedai kuwa ni mchezaji mwenye nguvu, anakimbia haraka na suala la kuzunguka uwanja ni la kawaida, mwili wake pia ni faida katika mapambano ya ndani ya uwanja, lakini pia anauwezo wa kupiga pasi fupi fupi na ndefu, hakuna mchezaji Simba ambaye ana nguvu kumzidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button