Alifungwa Jela Miaka 6 kwa Kesi ya Uongo.

Alifungwa Jela Miaka 6 kwa Kesi ya Uongo.

Kijana mmoja aliyekuwa nyota wa mchezo wa mpira wa miguu ya shule za sekondari (high school football star) nchini Marekani alipata pigo kubwa baada ya kushitakiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kingono dhidi ya Msichana aliekuwa na Miaka 16, Wakati huo alikuwa na mustakabali mzuri wa michezo, kwani vyuo vikuu vikubwa vilikuwa vinamvizia kumpa udhamini.

Baada ya msichana huyo kukiri kuwa tukio halikuwahi kutokea, mashitaka yalifutwa na kijana huyo aliachiliwa huru, akibubujikwa na machozi mahakamani kwa kupoteza ndoto na ujana wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button