Aliyekuwa Mpambe wa Hayati Rais Dkt John Pombe Magufuli, Kanali Bernard Paul Masala Mlunga akimsikiliza kwa Makini Mkuu wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa-NDC
Aliyekuwa Mpambe wa Hayati Rais Dkt John Pombe Magufuli, Kanali Bernard Paul Masala Mlunga akimsikiliza kwa Makini Mkuu wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa-NDC , Meja Jenerali Wilbert Augustine Ibuge, wakati akizungumza na Ujumbe wa washiriki wa kozi ndefu kutoka nchi 16 ikiwemo Tanzania kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa-NDC uliopo kwenye ziara ya kimasomo mkoani Arusha kwa lengo la kujifunza kwa vitendo ili waweze kuwa kitovu cha kuwezesha maamuzi ya Serikali kwenye kila sekta yanayozingatia tija na usalama wa taifa
Ujumbe huu utakuwepo mkoani Arusha kwa muda wa siku nne na kutembelea maeneo mbalimbali ya vivutio vya utalii.







