Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Austria na Katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Vienna, Mhe. Naimi S. Aziz amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Martin Woller,

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Austria na Katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Vienna, Mhe. Naimi S. Aziz amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Martin Woller, Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika na Mashariki ya Kati wa Chemba ya Biashara ya Austria (Austria’s Federal Economic Chamber) jijini Vienna tarehe 11 Juni 2025

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button