CCM – Kuendelea kuonesha ukubwa wake wajumbe kukutana Dar es salaam
Kama ulidhani Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimelala basi futa kabisa hilo kwakuwa Vikao ndio msingi wa Chama chochote cha Siasa viwe vya Kikanuni ama Maalum na wakati sasa umefika wa kuendelea kuwadhiirishia Watanzania ukubwa wa CCM.
hatujawahi kubahatisha, kukosea wala kwenda kinyume na matakwa ya Katiba yetu kwa maslahi mapana ya Watanzania na Taifa kwa ujumla.
Huu ndio wakati mwingine tena wa Wajumbe kuonesha kuwa CCM inalea, ina watuu, ina kila aina ya kile wanachokihitaji Watanzania kama ambavyo wamekuwa wakifanya siku zote.
Wajumbe karibuni Jijini Dar es salaam kwa Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kitakachoongozwa na Mwenyekiti na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
🗓️ 03 Aprili, 2024
⏰ 10 Jioni
📍 Jijini Dar es salaam






